MGOMBEA UDIWANI KATA YA NAALARAMI EDWARD LENANU AMEZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI
Автор: MONDULI TV ONLINE
Загружено: 2025-10-12
Просмотров: 1013
Описание:
Nimwendelezo wa Kampeni za Udiwani ambapo kila kata Imendeleea kuzindua kampeni za Udiwani jimbo la Monduli.
Akimnadi Mgobea udiwani Ndg Edward Lenanuu ndugu Isack Joseph amewaomba wananchi kata ya Naalarami kumchagua Edward Lenanuu Mgombea Udiwani kata Ya Naalarami ili aende akaungane na Mbunge na Rais ili kuwaletea wananchi Maendeleo.
Nae Ndg Lenanuu amesema chini ya uongozi wake atahakikisha analigania miradi ya maendeleo ili iweze kuwanufaisha wananchi.
Katibu wa chama cha Mapinduzi Ccm Ndg.Rukia Mbasha pamoja na Diwani Vitimaalum Ndg Pulina Richard wamewaomba wananchi kumchagua Rais Dkt Samia na Isack Josep Kwa nafasi ya Ubunge pamoja na madiwani wote wa ccm wa Wilaya ya Monduli.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: