PINGAMIZI LA LISSU LAIBWAGA JAMHURI MAHAKAMA KUU | JAMHURI YAMPELEKA MAHAKAMA YA RUFANI.
Автор: Joex Media Group
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 634
Описание:
MAHAKAMA YAKUBALI PINGAMIZI LA LISSU DHIDI YA JAMHURI.
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na pingamizi la la Mshstikiwa Tundu Lissu kuhusiana na taarifa ya kuongezwa kwa ushahidi wa Shahidi (Notice Substance), iliyotolewa na upande wa Mashtaka Februari 18, 2026.
Akisoma uamuzi huo, Jaji mkuu anayeongoza kesi hiyo Dustin Ndunguru amesema Kwa mujibu wa kifungu cha 308(1) ushahidi unatakiwa kutolewa ni ule uliosahaulika wakati wa Committal na si ushahidi mpya ambao unaletwa baada ya Committal.
Ikumbukwe kuwa upande wa Mashtaka uliwasilisha notisi hiyo ikitaka Amini Mahamba ambaye ni mpelelezi wa Matukio ya Oktoba 29 na baada ya kuleta ushahidi mpya.
Hata hivyo mara baada ya maamuzi hayo, jamhuri iliomba muda wa lisaa limoja kwa ajili ya kutafakari hukumu hiyo na waliporejea waliwasilisha notisi ya mahakama ya rufani kuhusiana na nia yao ya kukata rufaa hivyo kwa mujibu wa sheria kesi ikiwa mahakama ya rufani mahakama zote zilizoko chini yake zitasimama kuendelea na mashauri hayo.
#joexmediagroup #politicalnews #trendings #siasazatanzania #exclusiveinterviews #breakingnews #politics #mahakamani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: