1 Wakorintho 1:1-31 (Mgawanyiko)
Автор: Msambaza Online Tv
Загружено: 2024-08-19
Просмотров: 336
Описание: 1 Kor. 1:1-4:21 sehemu hii yote inahusu mgawanyiko uliotokana na kuwahusudu wahubiri kupita kiasi. Mtume katika sehemu anawataka wajue kwamba, wahubiri ni watumishi tu wa Kristo na si zaidi ya hapo. Hivyo, mtu pekee wanaopaswa kumuonea fahari ni Kristo na sio watumishi wake, hilo likitokea basi watakuwa washirika halisi wa Kristo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: