WAZIRI KAIRUKI AZUNGUMZA NA MTENGENEZA MAUDHUI YA MTANDAONI VICENT PENDAEL NJAU (KIREDIO)
Автор: Mawasiliano TV
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 83
Описание: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), tarehe 14 Januari 2026, amekutana na kuzungumza na mtengeneza maudhui ya mtandaoni, Vicent Pendael Njau (KIREDIO), katika ofisi za Wizara, Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: