ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AUZINDUA MJI WA DKT. HUSSEIN MWINYI MOMBASA

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2025-12-26

Просмотров: 1457

Описание: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kujikita katika utekelezaji wa miradi mikubwa yenye tija kwa maendeleo ya Taifa.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 23 Disemba 2025 wakati wa uzinduzi wa mji huo uliofanyika ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Amesema miradi ya aina hiyo ni nguzo muhimu katika kuboresha maisha ya wananchi na kuimarisha uchumi wa Zanzibar.

Aidha, amewataka wananchi kuwa tayari kwa mabadiliko pale Serikali inapotekeleza miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo ujenzi wa nyumba za makaazi, kwa kuunga mkono juhudi za Serikali. Amehakikishia kuwa hakuna mwananchi atakayodhulumiwa haki yake endapo atatoa eneo lake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu katika mji huo umeenda sambamba na uzinduzi wa Msikiti mpya wa Masjid Balad Salaam uliojengwa katika eneo hilo.

Kwa upande wake, Waziri wa Fedha, Dkt. Juma Malik Akili, amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kutekeleza kwa vitendo ahadi anazozitoa kwa wananchi, akisema hatua hiyo inathibitisha dhana ya uongozi unaoacha alama chanya kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Akitoa taarifa ya kitaalamu ya mradi huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh, amesema mradi umegharimu shilingi bilioni 34 na unajumuisha majengo 14 ya ghorofa tano kila moja, yenye jumla ya nyumba 276 za kisasa. Amesema mradi huo umejengwa na Kampuni ya CRJE kutoka China.

#Mapinduzi62
#MaendeleoZanzibar
#NyumbaZaGharamaNafuu
#UongoziUnaoachaAlama
#ZSSF

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AUZINDUA MJI WA DKT. HUSSEIN MWINYI MOMBASA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#RAIS MWINYI AUNDA TUME KUTATHMINI FIDIA NA KERO

#RAIS MWINYI AUNDA TUME KUTATHMINI FIDIA NA KERO

USIYOYAJUA KUHUSU WAZANZIBAR WANAOISHI ULAYA - SHEIKH SABRI (KIPINDI MAALUM) 02-01-2026

USIYOYAJUA KUHUSU WAZANZIBAR WANAOISHI ULAYA - SHEIKH SABRI (KIPINDI MAALUM) 02-01-2026

«ИНВЕСТОРЫ, ИНВЕСТИРУЙТЕ В ЗАНЗИБАР – ЭТО БЕЗОПАСНОЕ МЕСТО» – (МХЕ. НАДИР)

«ИНВЕСТОРЫ, ИНВЕСТИРУЙТЕ В ЗАНЗИБАР – ЭТО БЕЗОПАСНОЕ МЕСТО» – (МХЕ. НАДИР)

DKT. MWINYI AZINDUA MJI WA KISASA MOMBASA

DKT. MWINYI AZINDUA MJI WA KISASA MOMBASA

#KERO YA KUVUKA KISIWA CHA UZI KUBAKI HISTORIA

#KERO YA KUVUKA KISIWA CHA UZI KUBAKI HISTORIA

#GIZA LIMETANDA KATIKA RUSHWA MUHALI#MAU MPEMBA#DONGO#WARDA#SAPNA

#GIZA LIMETANDA KATIKA RUSHWA MUHALI#MAU MPEMBA#DONGO#WARDA#SAPNA

DKT MWINYI AWATAKA WANANCHI 60 KUCHUKUA FIDIA ZAO KUPISHA UJENZI WA BARABARA

DKT MWINYI AWATAKA WANANCHI 60 KUCHUKUA FIDIA ZAO KUPISHA UJENZI WA BARABARA

Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

WAZIRI KITWANA AFANYA ZIARA KATIKA IDARA MAALUM ZA SMZ

WAZIRI KITWANA AFANYA ZIARA KATIKA IDARA MAALUM ZA SMZ

MRADI WA FLYOVER AMANI WAIBUA MALALAMIKO YA FIDIA KWA WAKAZI WA MAGOGONI

MRADI WA FLYOVER AMANI WAIBUA MALALAMIKO YA FIDIA KWA WAKAZI WA MAGOGONI

Historia ya Mzee Mwinyi, asili yake, familia yake, siasa na urais mara mbili Bara na Zanzibar

Historia ya Mzee Mwinyi, asili yake, familia yake, siasa na urais mara mbili Bara na Zanzibar

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

BARABARA NYENGINE PAMOJA NA DARAJA KUBWA LAFUNGULIWA, MAHONDA - PANGATUPU

BARABARA NYENGINE PAMOJA NA DARAJA KUBWA LAFUNGULIWA, MAHONDA - PANGATUPU

KHADIJA ANAYEFANYA KAZI OMAN ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA NYUMBA na MAMA'AKE MDOGO TANZANIA....

KHADIJA ANAYEFANYA KAZI OMAN ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA NYUMBA na MAMA'AKE MDOGO TANZANIA....

#RAIS MWINYI ASISITIZA MABADILIKO KWENYE MAKAAZI

#RAIS MWINYI ASISITIZA MABADILIKO KWENYE MAKAAZI

RAIS MWINYI AELEZA MAFANIKIO YA 2025, AKIUKARIBISHA 2026

RAIS MWINYI AELEZA MAFANIKIO YA 2025, AKIUKARIBISHA 2026

RIPOTI ZA SEMA AFRICA - UKARABATI WA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR. D.T. KHALID AZUNGUMZA.

RIPOTI ZA SEMA AFRICA - UKARABATI WA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR. D.T. KHALID AZUNGUMZA.

JOHN HECHE ATANGAZA MAPAMBANO MAPYA YA KATIBA MPYA, ATAKA WATANZANIA KUUNGANA.

JOHN HECHE ATANGAZA MAPAMBANO MAPYA YA KATIBA MPYA, ATAKA WATANZANIA KUUNGANA.

WAISLAM NA BAKWATA

WAISLAM NA BAKWATA

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]