KUFUNGUA ANGA LAKO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO Mchungaji:Peter Mahenge
Автор: Mavuno Christian Center
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 152
Описание:
Ili kuweza kushinda kila vita lazima uwe na nguvu ya kuamurisha aliyeshikilia anga ili kufungua hatima yako.
Anga lako likifungwa huwezi kufanikiwa ata ufanye nini.
Anga lako likiwa wazi mambo yako yataenda vema,
Anga linaweza kuamua maisha yako,uchumi,ndoa,elimu,kazi,biashara,sifa,kibali,uwekezaji,utumishi,huduma na mengine mengi.
Mungu akujalie uwezo na macho ya rohoni kuweza kuvunja kila kitu kilichoshikilia anga lako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: