Jomireso voices Tz - Mungu kwanza
Автор: Jomireso voices Tz
Загружено: 2020-12-15
Просмотров: 36283
Описание:
Song:MUNGU KWANZA
Artist:JOMIRESO VOICES TZ(+255 765 766 438) Email: [email protected]
Composer:Mwl MAJOGORO
Audio :Pro EPHRAIM(+255 745 772 120 )
Video: RJ STUDIO (+255 769 672 995)
🆕🆕🆕🆕🆕
Je,maisha yanapokuwa magumu na pale mambo yanapoonekana hayaendi, unakumbuka maneno ya Yesu, *"Tafuteni ufalme wa Mungu kwanza na mengine yote mtazidishiwa"*?
Sikiliza wimbo huu, #MUNGU KWANZA kutoka JO MIRESO VOICES TZ...Naamini utakubariki katika miisho ya mwaka huu 2020. Usisahau kusubscribe, kulike, kucomment lakini zaidi kushare ili wengi wazidi kupokea mbaraka huu.🤝🏽🙏🏽
Reference :
Mathayo 6:25-34
[25]
Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
[26]Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
[27]Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja?
[28]Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti
[29]nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.
[30]Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?
[31]Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
[32]Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
[33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
[34]Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: