YALIVYOKUWA MAZISHI YA MAMA WA RC MRISHO GAMBO
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-04-19
Просмотров: 4716
Описание:
Mamia ya watu wamiminika kumzika Mama yake Mkuu wa mkoa wa Arusha,Rehema Momburi
Mazishi yamefanyika Leo,Aprili 19,2018 kijijini kwao Msuni ,kata ya Uru kaskazini Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Viongozi mbalimbali wa serikali wamehudhuria mazishi hayo akiwemo Naibu Waziri wa elimu Wilium Ole Nasha,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira na baadhi ya wakuu wa mikoa kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: