ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2023-07-03

Просмотров: 16123

Описание: #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Mfaume Mfaume ni yule mwana ambaye akitokea sehemu ni sahihi kwako kuwaambia wahusika kwamba jamani, mwamba huyu hapa! Muonekano wake pekee unamfanya mtu ajue yuko kwenye presence na mtu maalum na baadae ukishajua hasa nini anafanya basi huwezi ku doubt yote ambayo utaambiwa juu yake lakini kubwa zaidi ukipata sasa nafasi ya kumuona anapokua kazini kwake hapo ndo utakaposhia kumpa nyota zake zote anazostahili kama bondia. Tena popote pale, iwe akiwa gym au ulingoni ambapo kadhaa washachezea shurba kutoka kwake.

Mfaume ni kama wengi wetu ambao tumetokea katika familia za kawaida tu ambayo malengo ya wazazi wetu kwetu ni kuhakikisha unasoma ili uweze kupata kazi nzuri na uje uwasaidie wao na Ndugu zako utakapokua mkubwa, vile vile mambo ya michezo ni kawaida maana kama mtoto unapokua unakua shuleni na mtaani ni lazima kunakua na kucheza, chochote ambacho kiko mbele lakini zaidi huwa ni mpira wa miguu kwa Kaka zetu ingawa sasa dunia imebadilika kiasi, siku hizi hata watoto wa kike kucheza soka ni jambo la kawaida tu na kwa hilo napenda sana.

So kwa Mfaume ni kama kwetu wengine tu, alianza kwa kucheza mpira lakini baadae interest yake ikatoka kutoka kwenye mpira na kuhamia kwenye ngumi, kwa wazazi wake huo ulikua mitihani hasa. Kwa mzazi kukuona mtoto wake akichezea vitasa mara kwa mara haliwezi kuwa jambo la kupokelewa kwa mikono miwili ndani ya nyumba, mtoto anarudi nyumbani kutoka kujifua nae anakua kafuliwa kwelikweli au akijua kwamba una pambano na mwamba flani aliye shindikana ndo hofu inapanda mpaka juu ya dari na inaeleweka kwanini inakua hivyo na kama mpaka sasa hujaelewa au hujaipatia picha basi mwenzetu huna moyo lol.

Alinipa story moja kwenye maogezi yetu haya kuhusu Mama yake, ananiambia kuna wakati alikua na mechi na bondia ambaye alikua anaongea sana, anajisifia na kumtishia sana maisha yake, kwamba atamchakaza vibaya sana tena mbele ya Mama yake, na aliyasema hayo akijua fika Mfaume huwa anaenda na Bi Mkubwa wake kwenye fight zake zote za ndani, ananiambia Mama yake aliogopa sana, alimsihi sana lakini kwa jitihada zake na maguvu ya Allah aliweza kumaliza mchezo wake huo vizuri tu.

Mabondia ni watu ambao wana roho za kipekee sana, unaweza ukamkuta mtu akiwa uliongoni anatoa dozi nzito kwa mpinzani wake ukadhani ni mtu mwenye roho mbaya sana, lakini ukimkuta nje ya ulingo na kwa watu wake utajua ni mtu wa aina nyengine kabisa. Kwa bahati nzuri nna marafiki ambao wanacheza mchezo huu wa boxing ikiwa pamoja na Mfaume mwenyewe, huwa ni watu wakarimu sana na wana mapenzi ya kweli lakini akiwa uliongoni anakua mtu mwengine kabisa, nadhani hiyo ndo tofauti ya masumbwi na michezo mengine.

Yangu matumaini uta enjoy session yetu hii ya mwisho ya msimu huu na mwana huyo humble kutoka kitaa, na pia kama kawaida utaokota mawili matatu ambayo yatakusogeza sehemu.
Tafadhali enjoy.

Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Salama Na WANA SE6 EP75|  PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na WANA SE6 EP75| PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

BREAKING NEWS;DUDU BAYA AKINUKISHA TENA MWIJAKU KWA HILI HANA CHA KUJITETEA MAMBO MAZITO

BREAKING NEWS;DUDU BAYA AKINUKISHA TENA MWIJAKU KWA HILI HANA CHA KUJITETEA MAMBO MAZITO

The BEST | Episode 33

The BEST | Episode 33

Kumekuchaaa!! MFAUME ATAJA SIKU YA KUPIGANA NA MWAKINYO

Kumekuchaaa!! MFAUME ATAJA SIKU YA KUPIGANA NA MWAKINYO "MWAKINYO SHANGINGI TU MVAA VIKUKU"

Historia Ya Sallam :

Historia Ya Sallam : "Shule Sijawahi Kupenda, Ada Kulikuwa Hamna" | SALAMA NA SALLAM PART 1

SIMBA ANGURUMA 🦁||AMEZUNGUMZIA YALE YOTE YALIOJIRI KULE FURAHA CITY FESTIVAL. ISSUE KUHUSU WILLYPAUL

SIMBA ANGURUMA 🦁||AMEZUNGUMZIA YALE YOTE YALIOJIRI KULE FURAHA CITY FESTIVAL. ISSUE KUHUSU WILLYPAUL

MBOWE MTOTO WA TAJIRI, ALILELEWA NA NYERERE KIROHO, KUSALITIWA, URAIS, MAJUMBA ULAYA, HASARA

MBOWE MTOTO WA TAJIRI, ALILELEWA NA NYERERE KIROHO, KUSALITIWA, URAIS, MAJUMBA ULAYA, HASARA

MZEE MASATU|SIO SIMBA TENA NI KENGE😅YANGA WAMEUMIA MY WAO AMECHUKULIWA NA AZAM|AFADHALI SIO YANGA

MZEE MASATU|SIO SIMBA TENA NI KENGE😅YANGA WAMEUMIA MY WAO AMECHUKULIWA NA AZAM|AFADHALI SIO YANGA

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja :

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1

Гренландия: остров китов, нищеты и алкоголизма | Интервью с местными, снег, лед и хаски

Гренландия: остров китов, нищеты и алкоголизма | Интервью с местными, снег, лед и хаски

Deo Samwel vs Mfaume Mfaume

Deo Samwel vs Mfaume Mfaume

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

GWAJIMA MANENO YAKE YAIBUA  SITOFAHAMU KWENYE IBADA YAKE LEO KANISANI KWAKE ASTUA KANISA ZIMA

GWAJIMA MANENO YAKE YAIBUA SITOFAHAMU KWENYE IBADA YAKE LEO KANISANI KWAKE ASTUA KANISA ZIMA

UTACHEKA🙌 MFAUME Kakutana na SHABIKI 'Kichaa', ALICHOMFANYIA Imebidi ATOE Hela KUMTUNZA, RONGONI 🔥🔥

UTACHEKA🙌 MFAUME Kakutana na SHABIKI 'Kichaa', ALICHOMFANYIA Imebidi ATOE Hela KUMTUNZA, RONGONI 🔥🔥

TIZAMA BONDIA MFAUME MFAUME ALIVYOMTANDIKA HABIBU PENGO KATIKA USIKU WA VITASA

TIZAMA BONDIA MFAUME MFAUME ALIVYOMTANDIKA HABIBU PENGO KATIKA USIKU WA VITASA

#140 Улетаем...КУДА?

#140 Улетаем...КУДА?

MZEE SAID!SIMBA TUMEWAKIMBIA YANGA WANGETUFUMUA NYINGI/CHAMOU ALISTAILI KADI UMEME AMEPIGA UBALOZINI

MZEE SAID!SIMBA TUMEWAKIMBIA YANGA WANGETUFUMUA NYINGI/CHAMOU ALISTAILI KADI UMEME AMEPIGA UBALOZINI

Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]