MHE. HEMED SULEMANI ABDULLA AAHIDI KUMALIZA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KILINDI NA KITETO.
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2023-10-13
Просмотров: 245
Описание:
Wananchi wa Wilaya Kilindi Mkoani Tanga wamemuomba mlezi wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Tanga kuwasaidia kutatua changamoto ya mgogoro wa mpaka kati Kiteto na Kilindi Mkoani Tanga
Akizungumza mara baada ya kutembelewa na mlezi mwakilishi wa wananchi wilaya ya Kilindi Omary Kigua amesema wananchi wanashindwa kuendelea kulima na kufanya maendeleo kutokana na mgogoro uliopo
Ndipo mlezi wa chama mkoa ambaye ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari akaahidi kumaliza mgogoro huo ndani ya kipindi kifupi hivyo wananchi waendelee kuwa wavumilovu wakati akishughulikia swala Hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: