NELICO NA MIPANGO YA KUWAINUA VIJANA WENYE ULEMAVU KIUCHUMI /WAPATIWA MAFUNZO YA BIASHARA.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2025-08-08
Просмотров: 62
Описание:
#mwangazatvupdates
Shirika la NELICO la Mkoani Geita limejidhatiti kusaidia watu wenye ulemavu katika nyanja mbalimbali ikiwemo kijamii, elimu na kiuchumi, kupitia mikakati yake endelevu na kwamba linalenga kuhakikisha kuwa kundi hilo linawezeshwa.
Katika hatua ya kutekeleza lengo hilo, NELICO wameandaa semina maalum kwa ajili ya vijana wenye ulemavu, wakilenga kuwapa maarifa ya ujasiriamali na biashara ambapo semina hiyo imehusisha wataalamu mbalimbali waliotoa mafunzo ya namna ya kuanzisha na kuendesha biashara kwa mafanikio.
Mkurugenzi Mtendaji wa NELICO Bi. Paulina Majogoro, amesema kuwa lengo kuu la semina hiyo ni kuhakikisha vijana wenye ulemavu wanajitegemea kiuchumi na kuepuka kuwa tegemezi kwa familia zao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: