KISA CHA NABII YUSUPH / MTABIRI ALIYEGOMA KUCHEPUKA NA MKE WA BOSI WAKE /AKATUPWA JELA
Автор: MTIGA ABDALLAH
Загружено: 2021-01-08
Просмотров: 66265
Описание:
Hadithi ya Yusuph ni hadithi maarufu sana ulimwenguni kote hadithi inayosimulia uadilifu na msimamo thabiti wa kijana aliyekubali kumtii mwenyezi MUNGU akabarikiwa afya akapewa nguvu za maajabu ya utabiri na Zaidi ya hayo akapandishwa juu toka kuwa mtumwa mpaka kupata cheo cha juu kabisa kwenye utawala wa misri.
Yakobo alikuwa ni moja kati ya wazee waliobarikiwa kuwa na Watoto wengi, wa kwanza kuzaliwa aliitwa Reubeni alifuatiwa na wadogo zake kama simeoni,levi pamoja na yuda.
Yusuph alikuwa ni mtoto wa 11 kuzaliwa kwa mzee yakobo, Yakobo alimzaa yusuph kipindi cha uzeeni sana katika Maisha yake hivyo ikapelekea yusuph kupendwa sana na baba yake.
--------------------------------------------------------------------------------------------
Instagram: / mtigaabdall. .
Facebook: / mtiga.co.tz
Website: https://mtiga.co.tz/
--------------------------------------------------------------------------------------------
#Newchapter #mtigaabdallah #NabiiYusuph
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: