Semina ya Maandalizi ya Hijjah kwa Mahujaj | Aziziya - Manazil Hotel | M2 Travel
Автор: M2TRAVEL ONLINE TV
Загружено: 2025-06-01
Просмотров: 542
Описание:
Tukiwa katika hoteli ya Manazil huko Aziziya, taasisi ya M2 Travel tumewakusanya mahujaj wetu kwa semina maalum ya maandalizi ya ibada ya Hijjah.
Semina hii imefanyika baada ya kumaliza ibada ya Umrah na kuhamia kutoka hoteli ya Makkah Tower.
🎯 Malengo ya semina:
Kuwaandaa mahujaj kimwili, kiroho, na kiutendaji kwa siku za Hijjah
Kuelewa utaratibu wa safari ya Mina, Arafah, Muzdalifah na Tarwiyah
Kujua mambo ya msingi na tahadhari muhimu wakati wa Hijjah
🌙 Hijjah ni safari ya kipekee — tazama video hii ujifunze na ujiandae ipasavyo kutimiza ibada hii tukufu.
📌 Imeandaliwa na: M2 Travel – Taasisi ya kuaminika ya Hajj & Umrah
📍 Mahali: Aziziya, Manazil Hotel
📅 Tarehe: 1 june 2025
👉 Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare kwa wenzako wanaotarajia kuhiji!
#M2Travel #Hijjah2025 #SeminaYaHijjah #HajjPreparation #Aziziya #ManazilHote
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: