Serikali yatoa fedha za mwezi Disemba za mpango wa Inua Jamii
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2024-01-02
Просмотров: 701
Описание:
Serikali imetoa fedha za mwezi Disemba za mpango wa Inua Jamii. Kwenye taarifa, waziri wa Leba na masuala ya jamii Florence Bore amesema zaidi ya shilingi bilioni mbili zitatolewa kwa njia ya Mpesa huku wanaonufaika kutokana na mpango huo wakitarajiwa kupata shilingi elfu mbili kama malipo ya mwezi Disemba mwaka jana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: