Je ni salama Kung'oa jino kipindi cha Ujauzito? | Dr. Rafiki Africa
Автор: Doctor Rafiki Africa
Загружено: 2025-07-18
Просмотров: 346
Описание:
Katika kipindi hiki maalum cha Doctor Rafiki Africa, tunazungumzia suala nyeti linalowakumba wajawazito wengi — matatizo ya meno na usalama wa kung'oa jino wakati wa ujauzito.
Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, ili kujibu maswali muhimu kama:
✅ Ni wakati gani salama kutibiwa jino ukiwa mjamzito?
✅ Kuna madhara gani kwa mama au mtoto?
✅ Nini kifanyike unapopata maumivu ya meno ukiwa na mimba?
📌 Huu ni mjadala wa kitaalamu unaolenga kusaidia jamii kupata maarifa sahihi kuhusu afya ya kinywa wakati wa ujauzito.
🔴 Subscribe kwa channel yetu kwa vipindi zaidi vya afya.
🎧 Sikiliza pia kwenye: Boomplay | Spotify | Apple Podcasts
#DoctorRafiki #AfyaYaMeno #Ujauzito #AfyaYaMama #AfyaYaJamii
#Dentist #PregnancyCare #OralHealth #TanzaniaHealth
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: