UVCCM DODOMA WAFURAHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MJI WA KISERIKALI MTUMBA
Автор: KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Загружено: 2023-03-16
Просмотров: 1642
Описание:
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Katika kuadhimisha miaka miwili ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Dkt Samia Suluhu Hassan, Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma leo Machi 16, 2023, wametembelea miradi mbalimbali ya mkakati ukiwemo Mradi wa Mji wa Serikali Mtumba na kupata maelezo kuhusu maendeleo ya mradi huo kutoka kwa Mratibu wa Mchakato wa Kuhamishia Serikali Dodoma kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Meshack Bandawe.
Wajumbe hao walioongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, wametembelea miradi mingine ya ujenzi wa Reli ya Mwendokasi SGR, Shule ya mfano ya Iyumbu, ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Msalato na ujenzi wa barabare pete.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: