LATRA yafanya Ukaguzi wa Reli na Treni ya Kisasa (SGR)
Автор: LatraTV
Загружено: 2024-07-23
Просмотров: 5800
Описание: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kupitia idara ya reli imefanya ukaguzi wa reli ya kisasa (SGR) ili kuhakikisha treni ya SGR na miundombinu yake iko usalama katika kuelekea kuanza rasmi kwa safari za Dar es Salaam na Dodoma ifikapo Julai 25, 2024.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: