Wanawake 10 hufariki kila siku Kenya kwa saratani ya shingo ya kizazi; serikali WHO wachukua hatua
Автор: Mashariki TV
Загружено: 2026-02-05
Просмотров: 45
Описание: Jumatano tarehe 4 mwezi Februari ni siku ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa saratani. Siku hii inatambuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani, WHO ambapo ujumbe wa mwaka huu unasisitiza kupunguza saratani kupitia kinga, utambuzi wa mapema wa ugonjwa huo, na wagonjwa kupata matibabu sahihi. Nchini Kenya mwezi uliopita wa Januari hatua Madhubuti zimechukuliwa kufanikisha ujumbe huu, hatua ambazo ni uzinduzi wa Mpango wa Utekelezaji wa Kitaifa wa kutokomeza saratani ifikapo mwaka 2030. Ili kufahamu nafasi ya mpango huu kufanikisha malengo ya WHO, Assumpta Massoi amezungumza kwa njia ya video na Daktari Joseph Mogga, Afisa kutoka ofisi ya WHO jijini Nairobi nchini Kenya, ambaye anaanza kwa kuelezea lengo la mpango huo. #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: