CHEKI RAIS SAMIA ALIVYOSHIRIKI TAMASHA la VYAKULA vya BAHARINI (ZANZIBAR SEAFOOD FESTIVAL)...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-06-24
Просмотров: 1357
Описание:
CHEKI RAIS SAMIA ALIVYOSHIRIKI TAMASHA la VYAKULA vya BAHARINI (ZANZIBAR SEAFOOD FESTIVAL)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika Fukwe za Kendwa ametembelea mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Biashara kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe hizo zilizopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.
Mara baada ya kutembelea Mabanda hayo ya Maonesho, Mhe. Rais Samia amewapongeza Vijana wa Skydivers kwa kuendelea kutangaza vivutio mbalimbali vilivyopo nchini hususani katika uwekazaji. Vijana waliruka kwenye Ndege umbali wa mita 10,000 huku wakiwa na Bendera ya Tanzania yenye ujumbe wa Wekeza Tanzania Invest Tanzania.
Pia katika Tamasha hilo Mhe. Rais Samia amekabidhi Boti 40 za Uvuvi kwa ajili ya vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: