Serikali ya Tanzania kugharamia janga la Mafuriko Rufiji
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2024-04-12
Просмотров: 4517
Описание: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewahakikishia waathirika wa mafuriko huko katika Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani kuwa Serikali itagharamia huduma zote za msingi wakati wa kipindi hiki kigumu kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: