UN YAUNGA MKONO TUME YA UCHUNGUZI TANZANIA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 262
Описание:
#HABARI: Kamishna wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amepongeza hatua ya Tanzania ya kuanzisha Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu.
Pongezi hizo zimetolewa jijini Geneva, Uswisi, wakati wa kikao cha 61 cha baraza hilo, ambapo Kamishna Turk alikuwa akiwasilisha taarifa inayoangazia maeneo yenye changamoto za migogoro duniani na juhudi za utatuzi zinazochukuliwa na mataifa mbalimbali.
Tume hiyo ya uchunguzi wa uvunjifu wa amani ilianza majukumu yake rasmi mwezi Desemba 2025 kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32) ili kubaini ukweli wa kilichojiri.
Hatua hiyo ya Serikali imetajwa na Umoja wa Mataifa kama kielelezo cha uwajibikaji na utawala wa sheria katika kulinda misingi ya amani na usalama wa raia wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: