VITU 5 VINAVYOFANYA KUKU WA KIENYEJI WATAGE MAYAI MENGI | Mbinu Bora za Ufugaji
Автор: KingoFarm
Загружено: 2026-03-08
Просмотров: 1092
Описание:
Kama unafuga kuku wa kienyeji na unatamani waongeze uzalishaji wa mayai, video hii ni muhimu sana kwako. Katika video hii utafundishwa vitu 5 muhimu vinavyosaidia kuku wa kienyeji kutaga mayai mengi na kwa afya bora.
Utajifunza mambo muhimu kama:
Lishe bora kwa kuku wa kienyeji
Umuhimu wa maji safi kwa kuku
Mazingira mazuri ya banda
Umuhimu wa madini kama chokaa na dagaa
Njia za kupunguza msongo wa kuku
Ukizingatia mambo haya, kuku wako wataongeza uzalishaji wa mayai na utapata faida zaidi kwenye ufugaji wako.
Jiunge na kundi letu la WhatsApp ujifunze zaidi kuhusu ufugaji bora wa kuku.
Utajiunga kwa miezi miwili kwa Tsh 8,000/= tu.
Pia tunapatikana na vitabu vya ufugaji:
Safari ya Ufugaji (Toleo Jipya)
Tiba za Asili kwa Kuku
Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji
Ufugaji wa Broiler
Karibu tujifunze pamoja.
Tufuge pamoja, ufugaji ni fursa.
TAGS
kuku wa kienyeji, kuku kutaga mayai mengi, ufugaji wa kuku wa kienyeji, chakula cha kuku wa kienyeji, kuongeza mayai ya kuku, ufugaji wa kuku Tanzania, mbinu za ufugaji wa kuku, kienyeji chicken farming
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: