LINDA MWANANCHI KITENGELA: Sauti ya Wananchi Yazidi Kupaa! 🔥
Автор: Oyominto Tv Digital
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 6916
Описание:
LINDA MWANANCHI TOUR – KITENGELA EDITION | KAJAIDO COUNTY
Kitengela ilisimama! Wananchi wa Kajiado walijitokeza kwa wingi kushiriki katika Linda Mwananchi Tour – Kitengela Edition siku ya Jumapili tarehe 15 Februari 2026.
Siku ilianza kwa maombi na ibada katika ACK St. Peter’s Orkeju Emanyak, kisha ikaendelea na Mega Rally kubwa Kitengela CBD, ambapo ujumbe mkuu ulikuwa kulinda haki za mwananchi, kuimarisha demokrasia, na kusimamia uwajibikaji wa viongozi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: