NORTH KOREA NI NGAO YA NYUKLIA! MBINU YA KIM JONG UN: SILAHA ZA NYUKLIA NDIO BIMA PEKEE YA USALAMA
Автор: Vision Tv Tanzania
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 934
Описание:
Uwezo wa kijeshi wa North Korea umeendelea kuwa moja ya sababu kubwa zinazolifanya taifa hilo kuogopwa na mataifa makubwa duniani. Chini ya uongozi wa Kim Jong Un, Pyongyang imeongeza nguvu katika maendeleo ya silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufika katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo United States. Jeshi kubwa la wanajeshi pamoja na mifumo ya silaha nzito linaifanya North Korea kuwa nguvu ya kijeshi ambayo haiwezi kupuuzwa katika siasa za kimataifa. Hali hii imeifanya Marekani pamoja na washirika wake kama South Korea na Japan kuendelea kuimarisha mikakati ya usalama katika eneo la Asia Mashariki.
#VisionTVTanzania #WorldNews #NorthKorea #KimJongUn #MilitaryPower #NuclearWeapons #GlobalSecurity #Geopolitics #USA #AsiaSecurity #WorldConflict #InternationalPolitics #GlobalTension #DefenseAnalysis #watchandlearn
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: