FILAMU YA YESU KWA LUGHA YA ALAMA BY FILBERT KAPELE...EPISODE 1
Автор: Biblia Yasema kwa Lugha ya Alama Tv
Загружено: 2021-11-12
Просмотров: 2513
Описание:
Kwa mara ya kwanza ninawaletea filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili na lugha ya alama. ili watu wote pamoja na watu wenye ulemavu wa kusikia (VIZIWI) wapate ujumbe ulioko katika filamu hii.
SUBSCRIBE ili uweze kupata matoleo (EPISODE) yote ya filamu hii.
SHARE kwa wengine ili nao wabarikiwe.
KARIBU UBARIKIWE...
MKALIMANI: FILBERT KAPELE
CONTACTS: +255 717 548 328
+255 762 237 800
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: