Owen Flowkiller ft B2k Mnyama_Shemeji (Official Audio)
Автор: Owen Flowkiller
Загружено: 2025-07-14
Просмотров: 2169
Описание:
#owenflowkiller #b2kmnyama #shemeji
SHEMEJI ft B2k mnyama
INTRO
Napenda shemeji napenda unanisifu/
Napenda unacare napenda kila kitu/
Napenda shemeji napenda unanisifu/
Napenda unacare napenda kila kitu/
CHORUS
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
VERSE 01/
Napenda unavosmile napenda unavocheka/
Napenda unavovaa shemeji unapendeza/
Shemeji we kifaa haki ya nani umeniweza/
Mixer na bambaa taa mate nashindwa meza/
Me naupiga mwingi zaidi ya brother na unajua/
Nakuletea mazaga ila brother ndo anazingua/
Namwona na mashori anakucheat haujajua/
Shemeji nitunuku me nna siri sitofichua
Mapenzi mbona wawili wawili/
Mmoja ilikuwa zamani/
Bwana ako akisafiri hiyo time yuko na nani/
Tujifungie chumbani zima taa washa kandiri/
Mi' ntafanya siri kikubwa tuwe wawili/
PRE-CHORUS
Cause napenda unavosmile/
Napenda unavocheka/
Napenda unavovaa shemeji unapendeza/
Nadekezwa na n'na deka/
Mara umwage mafedha/
Note hazipigi chenga/
Nani atachana mkeka!?/
CHORUS
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
Instrument 🎷 🎸
VERSE TWO
Leo siku ya tatu brother maskani hajarudi/
Juzi beki nlimuona nae bafuni/
Brother anachiti shemela shtuka utabugi/
Nipe kitu roho inapenda me ni feel good good/
We sianakupa vicheni wenzako wanapewa harrier/
Suzi kigamboni alipewa sketi ina feni ndani/
Hakuna siku anakupeleka outing/
Vitoto vya chuo vinakesha nae out/
Shemeji una ninyonga na nyonga/
Mitoko unatupia nashindwaje kubonga/
Maneno yanaponza karimu mandonga/
Mapenzi yanataka ufundi seremala nachonga/
PRE-CHORUS
Cause napenda unavosmile/
Napenda unavocheka/
Napenda unavovaa shemeji unapendeza/
Nadekezwa na n'na deka/
Mara umwage mafedha/
Note hazipigi chenga/
Nani atachana mkeka!?/
CHORUS
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Najua hayupo na umependeza kinoma/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
Oya shemeji nipe nipe/
Kisela kisela kisela/
Nitapunguza mapepe/
Kisela kisela kisela/
Heeeh!/
Wooow!/
Instrument 🎷🎸
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: