Mkuu wa Majeshi akagua atakapozikwa Mkapa | Maandalizi ya mizinga yakamilika
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2020-07-28
Просмотров: 2234
Описание:
#RIPMzeeMkapa #RIP #BenjaminWilliamMkapa #Mtwara #Lupaso #Masasi
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo ameridhika na maandalizi ya kuupumziksha mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania (1995-2005), Benjamin William Mkapa kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara @DailyNewsDigital
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: