ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

"TUNAKIMBIZWA NA PISTOL, TUSAIDIE" RC AINGILIA KATI SAKATA LA WANANCHI KUVUNJIWA NYUMBA ZAIDI YA 30

MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM

ALBERT CHALAMILA

RC DSM

RC CHALAMILA

NYUMBA ZAIDI YA 30 ZAVUNJWA

SAKATA LA NYUMBA KUVUNJWA

JIJI LA DAR ES SALAAM

JESHI LA POLISI TANZANIA

KAMANDA KANDA MAALUM DSM

KAMANDA MULIRO

RAIS SAMIA

CCM

WANANCHI WA MAJOE

TAKUKURU TANZANIA

IGP WAMBURA

WIZARA YA ARDHI

WAZIRI JELLY SILAA

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2023-12-22

Просмотров: 183326

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameagiza kukamatwa kwa watu waliovunja makazi ya watu zaidi 30 nyakati za usiku eneo la Majoe Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam

ameyasema hayo alipotembelea eneo hilo na kujionea nyumba zilizo bomolewa na watu ambao hawafahamiki kwa kuwa uhalifu huo umekua ukifanyika nyakati za usiku.

Albert Chalamila baada ya kuwasikiliza waathirika wa mgogoro huo alimuagiza OCD na TAKUKURU kumkamata Mwenyekiti wa mtaa wa Majoe ili aweze kuhojiwa ni watu gani wamefanya uhalifu huo

" haiwezekani watu wanakuja kubomoa nyumba usiku alafu awajulikani na mwenyekiti yupo hili halikubaliki" Alisema RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila amemtaka OCD kuwasaka na kuwakamata wote waliojihusisha na tukio hilo, apeleleze kwa kina ajue ni akina nani, hatua itakayofuata ni atakuja tena na vyombo vyake pamoja na timu ya wataalam wanasheria na Wataalam wa Ardhi ili kupata ufumbuzi wa mzizi wa mgogoro huo

Aidha RC Chalamila ameagiza eneo hilo kuanzia sasa lilindwe ili Isitokee uharibifu au ubomoaji mwingine wa aina yeyote, ambapo amesistiza kitendo kilichofanyika halivumiliki pia kina chafua taswira ya Jeshi la polisi, Kinamchafua, Rais na Chama cha mapinduzi kwa ujumla.

Kwa upande wa Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Edward Mpogolo amesema alifika katika eneo hilo na kujionea nyumba zilizo bomolewa ambazo ni zaidi ya 30 na wamiliki wa nyumba hizo hadi sasa wamekua wakihangaika kutokana na kukosa makazi.

Mwisho RC Chalamila amesema hatua aliyoichukua ni ya awali ili apate pa kuanzia na ijulikane wazi hatengui wala kuingilia hukumu ya mahakama.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
"TUNAKIMBIZWA NA PISTOL, TUSAIDIE" RC AINGILIA KATI SAKATA LA WANANCHI KUVUNJIWA NYUMBA ZAIDI YA 30

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

HD VIDEO: RC ALLY HAPI AFOKA, TAZAMA ALIVYOAGIZA POLISI WAMCHUKUE MENEJA WA BENKI NA MWANASHERIA

HD VIDEO: RC ALLY HAPI AFOKA, TAZAMA ALIVYOAGIZA POLISI WAMCHUKUE MENEJA WA BENKI NA MWANASHERIA

"NAKULIPA HELA YANGU HIYO KESI NAINUNUA" RC CHALAMILA AMCHIMBA MKWARA MWENYEKITI ANAYEDAIWA KUTAPELI

KIVUMBI WALIOMTISHIA DC, RC CHALAMILA AAGIZA WASAKWE

KIVUMBI WALIOMTISHIA DC, RC CHALAMILA AAGIZA WASAKWE "NITAWAFYATUA, HAKUNA WAKUPANDA KIPARA HIKI"

HANANJA HAKUBALIANI NA ZUMARIDI, ASIMULIA ALIVYOWEKWA JELA RWANDA KUCHEZA BOXING NA KUISHI NA MATEJA

HANANJA HAKUBALIANI NA ZUMARIDI, ASIMULIA ALIVYOWEKWA JELA RWANDA KUCHEZA BOXING NA KUISHI NA MATEJA

HUYU NI NANI? \ episode 28 \

HUYU NI NANI? \ episode 28 \

MALALAMIKO YA WANANCHI ZUIO LA VITUO VYA MABASI KUFUNGWA KOROGWE, VYAFUNGULIWA, MBUNGE AZUNGUMZA

MALALAMIKO YA WANANCHI ZUIO LA VITUO VYA MABASI KUFUNGWA KOROGWE, VYAFUNGULIWA, MBUNGE AZUNGUMZA

"Kuongoza kwa stail ya Mwanri hapana" Rais SAMIA amkumbushia Aggrey Mwanri akiwafunza Wakuu wa Mikoa

FOLENI DAR NI UZEMBE, MALORI, BANDARI KAVU CHANZO WANAPIGA HELA

FOLENI DAR NI UZEMBE, MALORI, BANDARI KAVU CHANZO WANAPIGA HELA

MKUU WA MKOA RC CHALAMILA AWAVUNJA MBAVU LADHA YA BIA INATEGEMEA NA MHUDUMU

MKUU WA MKOA RC CHALAMILA AWAVUNJA MBAVU LADHA YA BIA INATEGEMEA NA MHUDUMU

Fahamu utamaduni na mila za wahehe

Fahamu utamaduni na mila za wahehe

MTENDAJI ANAYELALAMIKIWA kwa MAKONDA ATUMA 'SMS' 'BABA ANAUMWA NIMEMPELEKA HOSPITALI' - WANANCHI HOI

MTENDAJI ANAYELALAMIKIWA kwa MAKONDA ATUMA 'SMS' 'BABA ANAUMWA NIMEMPELEKA HOSPITALI' - WANANCHI HOI

LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA

LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA

“MELI ILIYOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA EL SALVADOR IMESAJILIWA ZANZIBAR”- MSIGWA

“MELI ILIYOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA EL SALVADOR IMESAJILIWA ZANZIBAR”- MSIGWA

TRA YAKANUSHA KUFUNGA BANDARI YA BAGAMAYO, MBWENI “LENGO NI KUDHIBITI MAGENDO”

TRA YAKANUSHA KUFUNGA BANDARI YA BAGAMAYO, MBWENI “LENGO NI KUDHIBITI MAGENDO”

MANGI MELI: KIONGOZI wa WACHAGA ALIYENYONGWA KIKATILI na WAKOLONI, FUVU Lake KURUDISHWA NCHINI..

MANGI MELI: KIONGOZI wa WACHAGA ALIYENYONGWA KIKATILI na WAKOLONI, FUVU Lake KURUDISHWA NCHINI..

"Tusileteane Ujinga Ujinga hapa, Kuanzia leo wewe sio Mkuu wa Idara" MAKONDA amtumbua Mkuu wa Idara

JINSI NYERERE ALIVYOGOMEWA 'KUMPA' URAIS DK. SALIM 1985 NA MWINYI AKAPITISHWA KWA KISHINDO

JINSI NYERERE ALIVYOGOMEWA 'KUMPA' URAIS DK. SALIM 1985 NA MWINYI AKAPITISHWA KWA KISHINDO

ATAMANI KUFA SABABU YA KUVUNJIWA NYUMBA YAKE | MGOGORO WA ARDHI | MPIGI MAGOE | UVUNJAJI NYUMBA

ATAMANI KUFA SABABU YA KUVUNJIWA NYUMBA YAKE | MGOGORO WA ARDHI | MPIGI MAGOE | UVUNJAJI NYUMBA

AIRPORT MPYA KUJENGWA HIFADHINI SERENGETI “KUONGEZA WATALII”

AIRPORT MPYA KUJENGWA HIFADHINI SERENGETI “KUONGEZA WATALII”

SIAMINI KAMA MWINCHUI  AMEPENGWA KUPENDELEA YANGA

SIAMINI KAMA MWINCHUI AMEPENGWA KUPENDELEA YANGA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]