Swala ya Safari kwa Msafiri –Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta (حفظه الله تعالى)
Автор: TawheedMedia Official
Загружено: 2025-07-09
Просмотров: 2582
Описание:
Katika darsah hii muhimu, Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta (حفظه الله تعالى) anafafanua kwa uwazi:
✅ Hukmu ya swala ya msafiri
✅ Wakati wa kupunguza (qasr) swala
✅ Kuunganisha swala mbili (jama’a)
✅ Misingi ya fiqh katika safari
🕌 Safari ni sehemu ya maisha ya Muislamu, na Allah ameturahisishia ibada katika hali hiyo.
📚 Jifunze namna ya kuswali ipasavyo ukiwa safarini bila kuvunja sheria ya Sharia.
📽️ Tazama mpaka mwisho, upate elimu ya dini yako
📤 Mshirikishe mwenzako – kwa sababu Elimu ni Sadaka Jariyah
---
🌐 Link Support Dawah:
🔗 Instagram: @tawheedmediaofficial
🔗 YouTube: Tawheed Media Official
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: