ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Sampamba - Moyo wa Upendo (Official Video )

Автор: Sampamba

Загружено: 2026-02-21

Просмотров: 3526

Описание: Hawa watu wawili kwenye hii video ni kaka na Mdogo wake
Walizaliwa Tumbo moja , kaka aliitwa kwenye huduma ya uinjilisti mwingine huduma ya uimbaji
Baada ya kuanzisha huduma kaka ambaye ni muinjilisti hakupata muitikio mkubwa wa watu kwenye kanisa lake
Lakini Mdogo wake alivyo toa wimbo wa kwanza tu alipata kibali na mapokezi makubwa ,
Kaka mkubwa ambaye ni muinjilisti akaenda kwa Mganga Ili Mganga ampe Nyota na mvuto Kama ya Mdogo wake katika huduma yake ,
Mganga akamwambia alete nywele za Mdogo wake kwasababu Mdogo wake Nyota yake ni Kali sana ,
Kaka akafanya ivyo , Mdogo alipo lala usiku kaka alimkata nywele kidogo bila mdogo kujua na akazipeleka nywele kwa Mganga Kama alivyo agizwa , Na
Mganga akafanya mambo yake . Wiki juma pili moja siku ya Ibada kaka alifungua kanisa Kama kawaida yake na kilicho mshangaza hata watu ambao huwa wana msaidia usafi hawakufika Kanisani
Hakuamini . Akarudi kwa Mganga na akaambiwa Mganga Alifariki wiki moja nyuma na bado uchunguzi unaendelea,
Kaka muinjilisti Hali ilibadilika na akawa mgonjwa na akawa kichaa,
Mpaka Leo yupo mtaani na Mdogo wake ndiye anaye pambana kumpeleka kwenye madhabau za maombi lakini hali bado ni mbaya Mpaka sasa , Kaka mkubwa ambae alikuwa muinjilisti yupo Mafinga na bado ni kichaa
#trending #gospel #moyowaupendo

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Sampamba - Moyo wa Upendo (Official Video )

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Leszek Miller ● Włosy staną nam dęba, gdy dowiemy się na co szły nasze pieniądze na Ukrainie

Leszek Miller ● Włosy staną nam dęba, gdy dowiemy się na co szły nasze pieniądze na Ukrainie

AFRO EAST PLAYLIST - HARMONIZE

AFRO EAST PLAYLIST - HARMONIZE

LAST CHANCE | 61 |

LAST CHANCE | 61 |

Boaz Danken-YESU MPENZI MWAMINIFU

Boaz Danken-YESU MPENZI MWAMINIFU

Sampamba  / Nibariki (Official Music Video)

Sampamba / Nibariki (Official Music Video)

Sampamba  - Kijani - (Official Video)

Sampamba - Kijani - (Official Video)

Bogucki nie zostawił suchej nitki na rządzie.

Bogucki nie zostawił suchej nitki na rządzie. "Nie będzie zgody"

Женя Трофимов. Комната Культуры - ВСЕ ПЕСНИ

Женя Трофимов. Комната Культуры - ВСЕ ПЕСНИ

Zoravo Ft Joel Lwaga - Umenitoa Mbali (Official Live Video)

Zoravo Ft Joel Lwaga - Umenitoa Mbali (Official Live Video)

Nawrocki wetem uderzył w bezpieczeństwo Polski. Europa w szoku, tylko na Kremlu zapanowała radość.

Nawrocki wetem uderzył w bezpieczeństwo Polski. Europa w szoku, tylko na Kremlu zapanowała radość.

BEST OF CHRISTOPHER MWAHANGILA MIX 2025 FT MUNGU NI MUNGU TU,FUNGUA MILANGO,YESU YUKO HAPA[DJ MOSEE]

BEST OF CHRISTOPHER MWAHANGILA MIX 2025 FT MUNGU NI MUNGU TU,FUNGUA MILANGO,YESU YUKO HAPA[DJ MOSEE]

"Popieram tę decyzję". Mentzen o wecie Nawrockiego ws. SAFE

Sampamba - Mungu akisema ndiyo Official music) ft Attu

Sampamba - Mungu akisema ndiyo Official music) ft Attu

POżyteczni idioci, szkodliwi cwaniacy

POżyteczni idioci, szkodliwi cwaniacy

Лучшие мелодии всех времен🌿 Лучшая музыка в мире 🌿 Сергей Грищук

Лучшие мелодии всех времен🌿 Лучшая музыка в мире 🌿 Сергей Грищук

Rząd postępuje według zasady: „po nas choćby potop” – Zbigniew Bogucki po radzie ministrów. Kontra

Rząd postępuje według zasady: „po nas choćby potop” – Zbigniew Bogucki po radzie ministrów. Kontra

Nyimbo Za Kuabudu Bwana | Swahili Worship Songs 2026 | Sifa & Maombi Ya Roho

Nyimbo Za Kuabudu Bwana | Swahili Worship Songs 2026 | Sifa & Maombi Ya Roho

BADO NATAFUTA 💞 PART 46 | Love Story #love

BADO NATAFUTA 💞 PART 46 | Love Story #love

Athom’s Mbuma - Soki yo te | Live Immersion

Athom’s Mbuma - Soki yo te | Live Immersion

„Historia wam tego nie zapomni!” – Bogucki ostrzega przed powtórką z nagonki na Lecha Kaczyńskiego

„Historia wam tego nie zapomni!” – Bogucki ostrzega przed powtórką z nagonki na Lecha Kaczyńskiego

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]