ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/03/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-03-12

Просмотров: 4279

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/03/2026

MAFUNGO YA KWARESMA 2026 - SIKU YA 20

NENO KUU:

Mhubiri 3:1
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

Matendo 3:19
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;

MADA:
"KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON)

UJUMBE WA LEO:
NAMNA NYAKATI NGUMU KWENYE MISIMU ZINAVYOWEZA KUTENGENEZA WATU WA KUSUDI.

3. Fikra zisizoogopa kushindwa bali zinaogopa kwenye kutojaribu.

Moja ya Nyakati ngumu au misimu mibaya kwenye maisha ya mwanadamu ni majira ya kushindwa yaani kufeli mtihani, kushindwa kwenye michezo, uchaguzi, kushindwa kwenye ubunifu fulani nk.

Ni muhimu uelewe kwamba njia ya kuelekea kwenye kusudi inaweza kuwa na kushindwa kwingi sana, zifundishe fikra zako zisiogope kule kushindwa bali ziogope kutojaribu kitu kipya maana huko ndiko kushindwa halisi.

Mithali 24:16

MAMBO YANAYOSABABISHA MTU WA KUSUDI KUSHINDWA MARA NYINGI KABLA YA KUFIKIA KUSUDI.

a. Ulimwengu wa roho unaweza kuona kufikiwa kwa kusudi fulani ndani ya mtu, hivyo unaongeza vita.

Ile vita ndio inayosababisha kushindwa kabla ya kufikia kusudi.

Mfano 1. Vita ya Danieli iliongezeka pale tu alipokaribia kupewa uwaziri mkuu enzi za Dario, na hii ikasababisha kutupwa kwenye tundu la simba.

Danieli 6:1-3

Mfano 2. Ulimwengu wa roho ulipoona kufikiwa kwa kusudi kubwa la kuukomboa Ulimwengu uliinua vita na kuwaua watoto wa kiume wakati wa kuzaliwa kwa Yesu.

Mathayo 2:16

Herode aliamua kuwa adui wa Yesu kwasababu Ulimwengu wa roho ulikuwa unazuia kusudi kubwa la ukombozi kwa Ulimwengu.

Ufunuo 12:1-5

b. Kuzungukwa na watu wasiotamani ufike kwenye kusudi.

Mwanzo 31:7

Yakobo alianguka/ alishindwa kwenye uwekezaji mara kumi kwasababu ya Labani aliyetaka Yakobo asifanikiwe, lakini aliinuka tena na akafika kwenye kusudi na kuwa matuo mawili.

▶️ Yusufu alianguka / alishindwa mara nyingi kabla ya kufika kwenye kusudi kwasababu ya ndugu zake
Mwanzo 37:8

Kilichomchelewesha Yusufu kwenda kwenye kusudi na akaanguka mara nyingi kwa kutupwa kisimani, kuuzwa, na kufungwa ni kwasababu ya ndugu zake (watu waliomzunguka).

Mtu wa kusudi lazima aelewe kwamba hata kama atakutana na watu watakaomfanyia ubaya ili aanguke, Mungu atautumia ubaya wao kumpeleka kwenye kusudi.

Mwanzo 50:20
Mhubiri 3:1
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

Matendo 3:19
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;

Mhubiri: Mwl. Andrew Bartimayo

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY -  THE SCHOOL OF HEALING 12/03/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 13/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 13/03/2026

🔴#LIVE : IBADA YA SABATO || UZINDUZI WA ONEVOICE27 - SEC | 14.03.2026

🔴#LIVE : IBADA YA SABATO || UZINDUZI WA ONEVOICE27 - SEC | 14.03.2026

Jinsi Mayai Yanavyoweza Kuwa Hatari kwa Wazee: Epuka Makosa Haya 10 Sasa Hivi!

Jinsi Mayai Yanavyoweza Kuwa Hatari kwa Wazee: Epuka Makosa Haya 10 Sasa Hivi!

MSIMU WA KUPOTEZA WA YAKOBO.(JACOB'S LOSS SEASON)

MSIMU WA KUPOTEZA WA YAKOBO.(JACOB'S LOSS SEASON)

LOVE ME AGAIN [106]#clamvevo #kiparabrand #sandraofficial #dontatv #panjugang

LOVE ME AGAIN [106]#clamvevo #kiparabrand #sandraofficial #dontatv #panjugang

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY -  THE SCHOOL OF HEALING 13/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 13/03/2026

Mh!😳

Mh!😳 "MTU AKIZINI MARA MOJA TU HII KITU INAMPATA 🙌🏾 NA KUFUTIKA SIO RAHISI" | +SHUHUDA ZA KUTISHA🔥💔

🔴#LIVE: 14.03.2026 || IBADA YA SABATO || UHITIMISHWAJI WA  MASTER GUIDES & SENIOUR YOTH LEADERS

🔴#LIVE: 14.03.2026 || IBADA YA SABATO || UHITIMISHWAJI WA MASTER GUIDES & SENIOUR YOTH LEADERS

Day 25 | 40 Days of Fasting & Prayers | Pastor Tony Osborn | 14th Mar 2026

Day 25 | 40 Days of Fasting & Prayers | Pastor Tony Osborn | 14th Mar 2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY -  THE SCHOOL OF HEALING 12/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/03/2026

MKE WA PROFESA JANABI, SOPHIA BYANAKU AFUNGUKA NAMNA ALIVYOKUTANA NA JANABI MIAKA 18 ILIYOPITA

MKE WA PROFESA JANABI, SOPHIA BYANAKU AFUNGUKA NAMNA ALIVYOKUTANA NA JANABI MIAKA 18 ILIYOPITA

MATENDO YAKO YATAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

MATENDO YAKO YATAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

JE, MAGOTI YANAUMA? Kula Vyakula Hivi 8 Kila Siku ili Kujenga Upya Kolajeni Mwilini!

JE, MAGOTI YANAUMA? Kula Vyakula Hivi 8 Kila Siku ili Kujenga Upya Kolajeni Mwilini!

Nowadays we ensure we call whoever chews ur partner live🔥🔥🔥Brothers fight under one dish😭😭🔥🔥

Nowadays we ensure we call whoever chews ur partner live🔥🔥🔥Brothers fight under one dish😭😭🔥🔥

🔴#LIVE: IBADA YA KUSHUGHULIKIA KILA KINACHOZUIA MAISHA YETU KUWA NA MATOKEO | 14-03-2026

🔴#LIVE: IBADA YA KUSHUGHULIKIA KILA KINACHOZUIA MAISHA YETU KUWA NA MATOKEO | 14-03-2026

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! -

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! - "INAUMA..! ILA WAIT IN SILENCE." ~ Rev. Eliona Kimaro

Top 10 Best Swahili Worship Music 2026 | Ombi Langu | Wewe Ni Sababu ya Maisha Yetu & More

Top 10 Best Swahili Worship Music 2026 | Ombi Langu | Wewe Ni Sababu ya Maisha Yetu & More

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY -  THE SCHOOL OF HEALING 11/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 11/03/2026

IBADA YA SABATO | UZURI WA MIGUU ILETAYO HABARI NJEMA  | MCH: ONESMUS NYARUBA| 14.03.2026

IBADA YA SABATO | UZURI WA MIGUU ILETAYO HABARI NJEMA | MCH: ONESMUS NYARUBA| 14.03.2026

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]