IRABOY OFFICIAL _HATUACHANI VISUALIZER
Автор: Iraboy Official
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 792
Описание:
THE SONG IS TALKING ABOUT TWO LOVEBIRDS WHO ARE DEEPLY IN LOVE AND ARE GONNA BE TOGETHER FOREVER TO ETERNITY NOBODY CAN SEPARATE THEM.
HERE ARE SWAHILI LYRICS
Wololololooo
Ni Iraboy
mnh
oooooh
verse one
imeandikwa hivi
mi nawe hadi kiama
hata waseme nini
hata sijali lawama
maana najua sisi
tumeandikiwa na maulana
wakizidi hivi
watakufa vibaya
eeeh
wanadhani hatupendani
wanasema hatuendani
wanapanga jama fulani
tuachane kama akinanani
oooo
chorus
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachan. iiii
verse two:
Ndoa tufanye kanisani
tuwakere watu fulani
washindwe twapita njia gani
juu ya vile tunashiny
vacation twende Zanzibar
tukutane na akina diamond Platnumz
hatuchezee msumari
tuenjoy mimi nawe
kwa maana
chorus
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachani
mi nawe hatuachan. iiii
follow me on:
Facebook: Iraboy Officio
TikTok:tiktok.com/@iraboy_official
Instagram:https://www.instagram.com/iraboy_offi...
#hatuachani #fyp #natulizana #love #fypシ゚viral #fypviralシ #music #newsong #diamondplatnumz #msumari
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: