ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kuzidisha na kugawanya: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Автор: Ubongo Kids Kiswahili

Загружено: 2021-10-20

Просмотров: 72292

Описание: Jifunze misingi ya hisabati ya kuzidisha na kugawanya kupitia hii video kutoka Ubongo Kids! Kujifunza zaidi, bonyeza hapa:    • Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati |...  

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.

Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

https://www.ubongokids.com
  / ubongokids  
  / ubongotz  

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kuzidisha na kugawanya: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

EPISODE NZIMA: Bilionea wa Samaki | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

EPISODE NZIMA: Bilionea wa Samaki | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Tumtafute Bush Baby! | Elimu Burudani na Akili and Me

Tumtafute Bush Baby! | Elimu Burudani na Akili and Me

Re-upload: Kusudi la Kibena | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Re-upload: Kusudi la Kibena | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

The importance of having self control | Ubongo Kids Compilation |African Educational Cartoons

The importance of having self control | Ubongo Kids Compilation |African Educational Cartoons

#26 Letter Compilation | Focused Lessons | Magic Mini Monsters | #MagicMiniMonsters

#26 Letter Compilation | Focused Lessons | Magic Mini Monsters | #MagicMiniMonsters

Маша и Медведь - С чего все начиналось? 🎄 За праздничным столом с Машей 🎉

Маша и Медведь - С чего все начиналось? 🎄 За праздничным столом с Машей 🎉

Vipimo: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Vipimo: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Akili na Ukuta wa Herufi | Jifunze Herufi na Akili and Me | Katuni za watoto

Akili na Ukuta wa Herufi | Jifunze Herufi na Akili and Me | Katuni za watoto

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Sehemu Rahisi: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Sehemu Rahisi: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Ubongo Kids Webisode 36 - Olimpiki Yetu - Mzingo

Ubongo Kids Webisode 36 - Olimpiki Yetu - Mzingo

Kinyozi mjinga | The Foolish Barber Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

Kinyozi mjinga | The Foolish Barber Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

Herufi za Wanyama | Jifunze Herufi na Akili and Me | Katuni za watoto

Herufi za Wanyama | Jifunze Herufi na Akili and Me | Katuni za watoto

Маша  и Медведь - 💥 НОВАЯ СЕРИЯ! 🛩️ Что внутри? 🐧 🌟 Коллекция мультиков

Маша и Медведь - 💥 НОВАЯ СЕРИЯ! 🛩️ Что внутри? 🐧 🌟 Коллекция мультиков

WEBISODE 68: Usanisinuru ni nini? | Ubongo Kids Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 68: Usanisinuru ni nini? | Ubongo Kids Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za Kiswahili

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

WEBISODE 69: Uliwahi kuona Tembo wa kijani? | Utu: Kujidhibiti | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 69: Uliwahi kuona Tembo wa kijani? | Utu: Kujidhibiti | Katuni za Kiswahili

Usalama Barabarani Na Ubongo Kids |  Tufike Pamoja | Swahili Version

Usalama Barabarani Na Ubongo Kids | Tufike Pamoja | Swahili Version

Ngurumo! -  Sehemu 1 Kipindi 7 - Kipindi Kamili (Toleo Rasmi la HD)

Ngurumo! - Sehemu 1 Kipindi 7 - Kipindi Kamili (Toleo Rasmi la HD)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]