ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

VIPEPERUSHI VYA USHOGA VYASITISHA MKUTANO TABORA

Автор: ITV Tanzania

Загружено: 2026-03-16

Просмотров: 14999

Описание: #HABARI: Vyombo vya Dola mkoani Tabora vimesitisha mkutano wa kidini uliopangwa kufanyika Machi 19 hadi 22, uliotarajiwa kuongozwa na kiongozi kutoka Amerika Kaskazini.

Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubainika usambazaji wa vipeperushi na vifaa vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja katika mitaa na shule 55 mkoani humo, jambo lililozua taharuki na kupelekea vyombo vya usalama kuingilia kati ili kulinda maadili na utulivu wa jamii.

Kufuatia tukio hilo, washirika 20 wa kiongozi huyo wameagizwa kuondoka mkoani Tabora mara moja, huku wenyeji wawili wakitakiwa kuripoti polisi kwa mahojiano zaidi kuhusu usambazaji wa vifaa hivyo.

Mamlaka zimesisitiza kuwa uamuzi huo ni wa kiusalama wakati uchunguzi wa kina ukiendelea kubaini mtandao mzima uliohusika na ujumbe huo unaokwenda kinyume na sheria na utamaduni wa nchi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
VIPEPERUSHI VYA USHOGA VYASITISHA MKUTANO TABORA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

© 2025 ycliper. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]