Waziri Mchengerwa aagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Igunga na watumishi wawili kwa upigaji
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-11-04
Просмотров: 2905
Описание:
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga aliyekuwa Halmashauri ya Kigoma Athumani Msabila pamoja na watendaji wawili wa mifumo waliopo Tamisemi kusimamishwa kazi maramoja kwa kutajwa na ripoti ya CAG kuhusika kwenye ufujaji wa fedha za mifumo.
Mchengerwa ametoa maelekezo hayo leo Jumamosi, Novemba 4, 2023 ambapo bunge linajadili taarifa tatu za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC), Serikali za Mitaa (LAAC) na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inayoishia Juni 30, 2022.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: