Elyte Mallya - Mbalamwezi (Official video)
Автор: Elyte Mallya
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 1037
Описание:
"Mbalamwezi" is a modern love song that portrays Mbalamwezi as a shining light in Elyte’s life. The song expresses his deep desire for her to stay close, as she guides him through darkness and uncertainty. With heartfelt lyrics and soulful vocals, it’s a powerful ode to love, loyalty, and the importance of having someone who lights the way.
Audio: Ephrasystem
Mixing & Mastering: VIEM
Lyrics: Elyte Mallya
Video Production: OUTLINE MEDIA
Steve Champion & Galacha
Makeup by Tausi Dude.
Record Lable & Studion: BIG ADAMZ MUSIC (BAM)
Verse 1:
Elyte 01 @deprize
Ninani alisema mapenzi machungu wakati wewe upo nami.
Ninani alisema kwamba me nawe aa hatuendani
Girl vyovyote unavyofanya usiende far away,
Coz umbali kidogo utanivuruga
Akili yangu utaivuruga, aah, a a aa
Kama Mbalamwezi inawaka waa
Moyo dilemma umepagawa,
Nausije kwenda mbali na mimi maa,
Moyo dilemma utapagawa
Chorus.
Mbalamwezi x2
Mbalamwezi yangu,
Yanimulikia x2
Verse2:
Kama wachawi, wataroga sana
Lakini me, umenishika mama
Me nawee, nimpaka kiyama, ama kifo kije kati, so
Baby sweetie, call me honey honey
Darling, mummy, you're my number one
This Lovie burning, mwingine sitamani,
It's true Lovie, yanii hukuja kwa money.
Girl, baby girl, vyovyote unavyofanya usiende far away,
Coz umbali kidogo utanivuruga
Akili yangu utaivuruga, aah a aa
Kama Mbalamwezi inawaka waa
Moyo dilemma umepagawa,
Nausije kwenda mbali na mimi maa
Moyo dilemma utapagawa,
[Chorus]
Mbalamwezi x2
Mbalamwezi yangu,
Yanimulikia x2
REMEMBER TO SUBSCRIBE, SHARE, LIKE AND COMMENT
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: