ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala, Mwanzo-Mwisho Historia ya MV Bukoba

Автор: The Chanzo

Загружено: 2024-05-21

Просмотров: 22927

Описание: Katika Mhadhara huu uliofanyika katika ukumbi wa Nkurumah leo Mei 21,2024, Profesa Rwekaza Mukandala ameangalia namna meli ya MV Bukoba ilivyoanza kutumika Tanzania mpaka kuzama.

Mhadhara huu umepewa jina la Mafunzo kutoka katika kujifungua kwa uchungu wa kushinikiza, maisha ya mateso, na kifo cha maumivu cha MV. Bukoba,.

Profesa Mukandala ameeleza kuwa kuanzia kwenye manunuzi ya meli hiyo tayari matatizo yalianza kuonekana hasa baada ya Tanzania kutofuata hatua muhimu za manunuzi ya umma. Tanzania ilikua inanunua meli hiyo kwa mkopo kutoka serikali ya Ubelgiji.

Masharti ya Mkopo huo yaliitaka Tanzania kutumia makampuni ya Ubelgiji, hata hivyo Tanzania haikushirikishwa, na mkataba wa ukandarasi ulifanyika katika shinikizo kubwa. Toka wakati meli hiyo inaanza kazi matatizo ya msingi ya kiufundi yalianza kuonekana.

Mkandala ameonesha masomo kadhaa kutokana na mhadhara huu kwanza umuhimu wa ujirani na nchi zingine, pili umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba ili kuboresha taasisi na tatu umuhimu wa nchi kuwa makini na mikataba mibovu.

Prof. Rwekaza Sympho Mukandala PhD (UC Berkeley), MA (Dar), BA (Dar), Profesa wa Sayansi ya Siasa na Utawala, Profesa wa Kiogoda cha Mwalimu J. K. Nyerer katika Taaluma za Umajumui wa Afrika, na Makamu Mkuu wa Chuo Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala, Mwanzo-Mwisho Historia ya MV Bukoba

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Heche Acharuka Msibani Amjibu Dk Nchimbi, 'Hatuwezi Kukaa Kimya'

Heche Acharuka Msibani Amjibu Dk Nchimbi, 'Hatuwezi Kukaa Kimya'

Aliyenusurika Kifo MV Bukoba, Asimulia Mazito kuhusu Ajali Hiyo | Clouds 360 wazungumza naye.Tazama

Aliyenusurika Kifo MV Bukoba, Asimulia Mazito kuhusu Ajali Hiyo | Clouds 360 wazungumza naye.Tazama

MHADHARA WA UPROFESA: DOLA, SOKO NA KUSHINDWA KWA TAASISI

MHADHARA WA UPROFESA: DOLA, SOKO NA KUSHINDWA KWA TAASISI

Historia ya PAUL KAGAME Mkimbizi Nchini Uganda Hadi Kuwa Rais wa RWANDA

Historia ya PAUL KAGAME Mkimbizi Nchini Uganda Hadi Kuwa Rais wa RWANDA

Я умоляю! НЕ пейте воду так по утрам - особенно если вам за 60! Бесценные советы академика. Горшков

Я умоляю! НЕ пейте воду так по утрам - особенно если вам за 60! Бесценные советы академика. Горшков

AZAMIA Meli ya MJERUMANI, ni MATESO ndani ya Kontena la Mizigo, atupwa JELA, mmoja akimbia POLISI

AZAMIA Meli ya MJERUMANI, ni MATESO ndani ya Kontena la Mizigo, atupwa JELA, mmoja akimbia POLISI

KIJANA ALIYENUSURIKA AJALI YA MV BUKOBA ASIMULIA MAISHA YAKE

KIJANA ALIYENUSURIKA AJALI YA MV BUKOBA ASIMULIA MAISHA YAKE

Profesa Safari aelezea sababu ya kujitenga na siasa, asema

Profesa Safari aelezea sababu ya kujitenga na siasa, asema "Siwezi kuwa chawa, najitoa kafala"

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 04/02/2026 JUMATANO ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 04/02/2026 JUMATANO ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

АДЫЛОВ — Гарем, пытки и золото: Как жил хозяин Узбекистана?

АДЫЛОВ — Гарем, пытки и золото: Как жил хозяин Узбекистана?

MSIGWA AFUNGUKA SUALA LA UUZAJI WA DHAHABU/TUNAHITAJI WAANDISHI WA UCHUNGUZI

MSIGWA AFUNGUKA SUALA LA UUZAJI WA DHAHABU/TUNAHITAJI WAANDISHI WA UCHUNGUZI

GUMZO!!! SHEKH AFICHUA MAZITO KUMBE IKULU SIO KWA AJILI YA SAMIA NA WAISLAMU NYERERE ALIKATAZWA

GUMZO!!! SHEKH AFICHUA MAZITO KUMBE IKULU SIO KWA AJILI YA SAMIA NA WAISLAMU NYERERE ALIKATAZWA

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

HECHE ATUA MSIBA WA MAMA MZAZI NA SINDA WAOMBOLEZAJI WAMSHANGILIA NA KUMWAGA MACHOZI

HECHE ATUA MSIBA WA MAMA MZAZI NA SINDA WAOMBOLEZAJI WAMSHANGILIA NA KUMWAGA MACHOZI

ЧТО КУСТО УВИДЕЛ ЧТО НА ДНЕ БАЙКАЛА! ЭТО СКРЫВАЛИ В СССР?

ЧТО КУСТО УВИДЕЛ ЧТО НА ДНЕ БАЙКАЛА! ЭТО СКРЫВАЛИ В СССР?

ERICK KABENDERA AFUNGUKA MAZITO KWA MARA YA KWANZA 'NILIIKOSEA SERIKALI NIKATEKWA/ WANGENIUA'

ERICK KABENDERA AFUNGUKA MAZITO KWA MARA YA KWANZA 'NILIIKOSEA SERIKALI NIKATEKWA/ WANGENIUA'

MSUKUMA 'alipuka' vikali

MSUKUMA 'alipuka' vikali "MMESHINDWA"/ Ni YALEYALE KILA SIKU!

HABARI KUBWA ASUBUI HII LEO JUMATANO...

HABARI KUBWA ASUBUI HII LEO JUMATANO...

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Гренландия: что скрывают США, Дания и НАТО под арктическим льдом

Гренландия: что скрывают США, Дания и НАТО под арктическим льдом

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]