KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | OFFICIAL VIDEO
Автор: Uinjilisti Kijitonyama Choir
Загружено: 2020-12-31
Просмотров: 5367694
Описание:
Hakuna Mungu Kama Wewe
Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA.
ANGALIZO:
Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu.
Hakuna Mungu Kama Wewe
(There’s No God Like You)
By: Kijitonyama Evangelical Choir
Swahili:
Hakuna Mungu kama Wewe
Yahweh / Lesa / Kyala / Nguluvi / Katondo
Unaweza, wa neema, wa baraka, wa upendo, yeh
Hakuna Mungu kama Wewe Bwana ah
(Repeat)
English Translation:
There’s no God like You
Yahweh / Lesa / Kyala / Nguluvi / Katondo (different names for God in African languages)
You are able, full of grace, of blessings, of love
There’s no one like You, Lord
Swahili:
Sifa, sifa, sifa kwa Yesu — Amen
Bariki — Amen
Kama unapenda Yesu, sema Haleluya / Oh Messiah
English Translation:
Praise, praise, praise to Jesus — Amen
Bless — Amen
If you love Jesus, say Hallelujah / Oh Messiah
Swahili:
Hakuna Mungu kama Wewe
Yahweh / Lesa / Mulungu / Nguluvi / Katondo
Unaweza, wa rehema, wa huruma, wa uweza, wa faraja, yeh
Hakuna Mungu kama Wewe Bwana ah
English Translation:
There’s no other God like You
Yahweh / Lesa / Mulungu / Nguluvi / Katondo
You are able, merciful, compassionate, powerful, comforting
There’s no other God like You, Lord
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: