Paul Mashauri: Alikuwa na Maono I Alikuwa Mchumi
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2022-03-17
Просмотров: 569
Описание:
JPM aliikubali sana Clouds 360 lakini pia unauona utofauti mkubwa wa utamaduni katika sekta zote za kijamii. Magufuli alibadilisha utamaduni kuanzia kwenye nidhamu ya kazi, hadi kwenye nidhamu ya mtu na mtu. Kipindi kile wakati anaingia kulikuwa na kile kitabia cha 'utanijua mimi ni Nani"! Kulikuwa hakuna heshima.
"Alipoingia madarakani alianza kuonesha nidhamu. Na hiyo spirit ndio inayofanya jamii iweze kupiga hatua. Huwezi kuwa huna nidhamu halafu ukafanikiwa eneo lolote lile kwenye familia, elimu, madaraka na hata utamaduni, alijitahidi kututoa katika tamaduni za kishenzi na kutuleta katika tamaduni za kuheshimiana" Paul Mashauri, Mchambuzi Masuala ya Kisiasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: