Mwanafunzi wa darasa la pili, abakwa na kuuawa kaunti ya Nyandarua
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 1777
Описание:
Maafisa wa polisi Nyandarua wanachunguza kifo cha mtoto anayedaiwa kubakwa kisha kuuawa siku ya Ijumaa jioni katika Kijiji cha Mbombo, eneo bunge la Oljororok. Ripoti zinaonyesha kuwa mwanafunzi huyo wa gredi ya pili alikuwa akirejea nyumbani kutoka shule alipotoweka. Kutoweka kwake kulisababisha wazazi wake pamoja na majirani kuanza juhudi za kumtafuta, ambapo mwili wake ulipatikana chini ya mti wa mikaratusi, ulio karibu na njia inayoeleka nyumbani kwao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: