MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO USIKU MORO - NYUMBA ZAZINGIRWA na MAJI - WANANCHI WAFUNGUKA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 1203
Описание:
MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO USIKU MORO - NYUMBA ZAZINGIRWA na MAJI - WANANCHI WAFUNGUKA....
@MWAJUMA RAMBO - MORO
CC; BAKARI MAHUNDU
Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamukia leo katika Manispaa ya Morogoro imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Kata ya Kihonda, Lukobe ,Kihonda na Mafisa hali iliyoathiri shughuli za wananchi na kusababisha uharibifu wa mali mbalimbali.
Wakizungumza mapema leo,wananchi wa kata hiyo wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya mitalo na mifereji ya maji, wakisema changamoto ya mafuriko imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kila msimu wa mvua kutokana na miundombinu isiyo imara.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: