SITAKUFA - ROCK SAMUEL Ft BAHATI ESPERANCE ( OFFICIAL VISUALIZER ) 4K
Автор: ROCK SAMUEL
Загружено: 2025-11-15
Просмотров: 19653
Описание:
#ROCK #youtube
Msanii wa Injili Rock Samuel amemthibitisha rasmi kuwa Bahati Esperance ndiye mshindi wa kinyang'anyiro chake cha kutafuta kipaji kipya cha kushirikiana naye kwenye wimbo mpya.
Wiki chache zilizopita, #Rock Samuel alitangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anatafuta msanii chipukizi mwenye ubunifu na sauti ya kipekee kufanya naye kolabo.
Baada ya mchujo mkali, Bahati Esperance ameibuka kinara, na sasa wawili hao
wameachia wimbo mpya unaoitwa "#Sitokufa# huku #Rock Samuel akionyesha wazi kuvutiwa
na kipaji chake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: