Watoto Yatima - Mtoni Choir Ninga (Official Video)
Автор: MATO FALI
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 910
Описание:
▬▬▬▬🔔☘ Thanks For Watching☘ 🔔▬▬▬▬
🎧If you like video please 🍁SUBSCRIBE⚡LIKE🔥SHARE🌞COMMENT🎼
Be sure to subscribe if you want to be notified of every new video! We upload daily!
Karibu kusikiliza wimbo wa WATOTO YATIMA ulioimbwa na kwaya ya - Mtoni Choir Ninga
Ni kwaya ya vijana kutoka Kanisa la FPCT, kijiji cha Ninga, wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa Tanzania, kipindi wimbo huu unatoka mwaka 2008 Ninga ilikuwa chini ya wilaya ya Sumbawanga Vijijini.
WIMBO : WATOTO YATIMA
MTUNZI : CHARLES SINKAMBA
WAIMBAJI : MTONI CHOIR, NINGA, RUKWA
AUDIO : MTONI CHOIR
VIDEO : SHINE VIDEO PRODUCTION MBEYA
©2026 IMEHIFADHIWA NA KULETWA KWAKO NA: MATO FALI
GMAIL: [email protected] (+255766406461)
Wimbo huu ukakupe ujasiri na moyo wa kupambana Kutetea na Kusaidia Watoto Yatima na Watoto walio na maisha magumu.Karibu uutazame na Mungu Akubariki.
#gospelmusic #choir #trending #worshipmusic #nyimbozainjili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: