NIKUMBUSHE (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
Автор: Mt. Secilia Makuburi
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 47014
Описание:
Maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na fursa ni sehemu yake, katika nyakati za changamoto ndipo mwanadamu hudhani ya kwamba hakuna msaada lakini siku zote mwambie Mungu, "naomba NIKUMBUSHE ya kuwa unaweza yote".
Karibu kutazama wimbo huu wenye tafakari ya kina juu ya uweza wa Mungu katika maisha yetu.
#music
#worshipmusic
#gospelmusic
#choir
#christmas
WIMBO: NIKUMBUSHE.
KWAYA: MT. SECILIA - MAKUBURI.
MTUNZI: A.J. MYONGA.
KINANDA: A.J. MYONGA.
AUDIO: GLS PRO.
VIDEO: MDETE TM.
Music score inapatikana hapa chini
https://drive.google.com/file/d/1bOcV...
Please Subscribe, comment, like & share.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: