Dira Mtaani: Vijana Wanaziishi Ndoto na Malengo Waliyojiwekea?
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-03-17
Просмотров: 87
Описание:
Majadiliano haya yamefanyika katika eneo la Vikindu wilaya ya Mkuranga. Dira Mtaani ni jukwaa ambalo vijana wanajadili, kuchambua na kutoa mwelekeo wa utekelazaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 kutoka kwenye mtazamo wa maisha yao halisi ya kila siku. Kipindi cha Dira Mtaani kimefadhiliwa na Umoja wa Ulaya.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: