DULLAH MBABE HAAMINI KILICHOTOKEA DHIDI YA KIDUKU, AANGUA KILIO HADHARANI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-20
Просмотров: 140212
Описание: Bondia Twaha Kiduku ameendeleza ubabe wake kwa kumpiga bondia Dullah Mbabe kwa point katika pambano la round 10, Dullah Mbabe alianza kwa kumuangusha Twaha Kiduku kabla ya Twaha kupindua matokeo kwa maana hiyo Twaha Kiduku sasa anaondoka na Toyota Crown kama zawadi ya ushindi huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: