RAPA TAKEOFF WA MIGOS AUAWA KWA KUPIGWA RISASI, MWENZAKE QUAVO ANUSURIKA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-11-01
Просмотров: 49751
Описание:
RAPA TAKEOFF WA MIGOS AUAWA KWA KUPIGWA RISASI, MWENZAKE QUAVO ANUSURIKA...
Msanii wa kundi la Migos kutoka nchini Marekani, Takeoff ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya leo, tukio lililotokea katika viwanja vya michezo vya 810 Billiards & Bowling, Houston huku memba mwingine wa kundi hilo, Quavo akinusurika.
Taarifa zinaeleza kwamba, Takeoff na mwenzake Quavo, walikuwa wakicheza mchezo wa Dice pamoja na marafiki zao ambapo katika mazingira ambayo bado hayaeleweki, kulitokea mabishano kati yao na kundi la vijana wengine waliokuwa eneo hilo, kisha milio ya risasi ikasikika.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: