Nimependelewa || The Saints Ministers {Official Video}
Автор: The Saints Ministers TV
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 61688
Описание:
Audio by PRO JACK
LYRICS
Tumeitwa Leo mwito wa dhamana kuu ...njooni kwangu mliolemewa na mizigo nitawapumzisha (Ameichukua mizigo yetu mizito akatuonea huruma sisi maskini x2)
Chorus
Nimependelewa kwa damu ya Yesu.
Nimebebwa Mimi mabegni mwake
Dhamana ya makosa Iko miguuni pake...
Huyu Yesu ni wa namna gani?
Mwovu anatambua, dhamana imetolewa tena bure, Damu ya thamani kutuweka huru dhidi yake. anajaribu kutupotezea Imani akituomyesha hatuna tena nafasi wakati Mungu anatuhitaji tulivyo pamoja na mizigo yetu atupumzishe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: