TAZAMA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE CCM KAMBARAGE SHINYANGA 2025
Автор: CM ENTERTAINMENT TZ
Загружено: 2025-08-22
Просмотров: 9811
Описание: Mashindano ya mbio za baiskeli ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 8 mwezi wa 8 katika sikukuu ya wakulima chini ya muandaaji Cm Entertainment kwa kushirikiana na Chama cha waendesha baiskeli mkoa wa shinyanga Yamekua kivutio na chachu ya kimaendeleo kwa mkoa sababu hua inafungua milango ya Fursa mbali mbali kuanzia kwa Washiriki pia Wajasiriamali kwa ujumla mkoa unakua unaingiza pato lake kwa hali ya juu tazama mwenyew namna Sikukuu hii inavokuaga na mzuka haswa kwa mashabiki wa mchezo uo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: