Kwa nini Marekani inashinika mkataba wa nyuklia na Iran?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 4128
Описание: Maafisa wa Marekani na Iran wanakutana mjini Geneva kwa duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja, yanayoonekana kuwa muhimu katika kuepusha migogoro. Rais Donald Trump ametishia kuishambulia Iran ikiwa makubaliano ya nyuklia hayatafikiwa. Lakini kwa nini Marekani inalamisha mktaba na Iran kuhusu nyuklia? #DiraYaDuniaTV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: